Che,Fidel, Nyerere,Thomas Sankara, Somora michael..Mungu awaweke mahali salama...
Ila upande wangu mimi sijawahi kuelewa Ucommunist wa uchina, kiukwekeli namchukia Mao with no reasons.. Maybe there's some strings attached [emoji849]
Binafsi mm ni mfuasi wa falsafa za nyerere japo sikuwahi kuishi nyakati zake..Ila ideas zake zinanifanya nimuone moja kati ya watu smart katika karne ya 20. Naamini katika magufuli japo siamini katika mfumo wake n everyday nikipata wasaa wa kupiga goti hua namuweka ili awe yule tunayetamani kua. Anaongoza watu wenye tamaa na uroho wamali zaidi japo anajitahidi kudhibiti..
Mkuu unadhani kwanini Gandhi na Mandela wanatukuzwa sana na wazungu tena wote waetengenezewa muvi kabisa hollywood