andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hivi nikisema nataka turudiane upo tayari kweli? Nguvu bado ninazo ujue...Safi kbs, sio yeye tu. Hata mimi mdogo wake nawakilisha vyema kundi la wasukuma[emoji3][emoji3][emoji3], mie kwangu nacheka na kila mtu.
Halafu kwnn hutaki kurudi tukuyu?
Uhuru la leo
Usisahau vichwa vya habari magazetini !
Hakuna jipya chini ya jua !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nikisema nataka turudiane upo tayari kweli? Nguvu bado ninazo ujue...
Sema neno moja basi, Chigoma sio mbali mbona...
Mkuu ukigonga like kwenye post za wadau hapa itapendeza.Uhuru la leo
Peleka posa upya, tuanze mchakato upya yaani na mahari ulipe upya hapo ndio naweza kukubali[emoji2][emoji2][emoji2]Hivi nikisema nataka turudiane upo tayari kweli? Nguvu bado ninazo ujue...
Sema neno moja basi, Chigoma sio mbali mbona...
Mzee wa pwani niache [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mzee bado unamkumbuka ma watoto wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Jesuuu[emoji120][emoji120][emoji120]Peleka posa upya, tuanze mchakato upya yaani na mahari ulipe upya hapo ndio naweza kukubali[emoji2][emoji2][emoji2]
ππππUnastahili kubondwa tena kipondo cha uhakika [emoji16][emoji16][emoji16]