Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,375
- 71,281
[emoji23][emoji23][emoji23]safiii!!Utalii wa hapa na pale..[emoji23][emoji23]
View attachment 1647242
[emoji23][emoji23][emoji23]safiii!!Utalii wa hapa na pale..[emoji23][emoji23]
View attachment 1647242
AminMungu atupe Baraka na Afya njema[emoji120][emoji120]
Kujamiiana tena!!Kama kawa, karibu tuendelee kujamiiana
[emoji23][emoji23][emoji23]Enzi zangu na mapera....
Madoriani yameshaiva hapa kisiwani UngujaHatuwezi kuwasahau wakulima wetu, poleni sana
Kwema sana bossShwari, kwema huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Wenye matako wanajiamini kuliko wenye digrii"...
View attachment 1641904
Mbona umepotea mkuu!?Kwema sana boss
Haya mawatu yalikuwa majinga sana ..unakuta yako kama ishirini au thelathini Halafu limwarabu liko limoja au lizungu halafu wanashindwa mfanya chochote. Angalia hapo yako kama yote viwazungu viwili tu lakini hamna kitu wanafanya