Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1607661127948.jpg
 
Haya mawatu yalikuwa majinga sana ..unakuta yako kama ishirini au thelathini Halafu limwarabu liko limoja au lizungu halafu wanashindwa mfanya chochote. Angalia hapo yako kama yote viwazungu viwili tu lakini hamna kitu wanafanya
Usiwalaumu mkuu.
Huenda hata ungekuwepo wakati huo ungefanya kama wao.
Kilichowagharimu kiasi mpaka babu zetu walikuwa mazuzu ni kwakuwa walikuwa wanaishi kwenye mazingira yale yale miaka nenda rudi.
Walitakiwa wasafiri nje ya bara hili ili kujifunza.
Walitakiwa pia waendane na mazingira ya wakati.
Naamini kama wangekuwa na elimu kidogo ya Dunia wasingejishusha kiasi hicho.
Ukitaka kulijua hili tembelea maeneo ya ndani ndani huko usukumani na unyakyusani, umasaini nk, ukajionee hali ilivyo
Bado kuna watu wanahitaji mwanga wa tochi mchana wa jua kali.
 
Back
Top Bottom