Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

OIP%20(1).jpg
 
Happy birthday by Kd Davet
Mungu akupe maisha marefu we chizi[emoji23]
Hbd boss wangu [emoji120]
Sijui nikuweke tu mnadani[emoji38][emoji38]
carbamazepine ndugu yako yupo mnadani kwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu azidi kumjaalia afya njema na maisha marefu[emoji120][emoji120]

Umesema ni boss wako? Vipi, ile tabia ya umswati aionyeshayo humu na huko kitaani anayo? Kama ni hivyo,basi, Mwenyezi Mungu azidi kumtunuku miguvu mingi na weledi wa kushugulika na shughuli aipendayo hapa Duniani.
 
Nimefanya naye kazi za muda mfupi mtandaoni tu pasi na kumuona.
Ni mtu mzuri..sijajua huko kwao.
 
Happy birthday Kd Davet
Mungu akupe maisha marefu we chizi[emoji23]
Hbd boss wangu [emoji120]
Sijui nikuweke tu mnadani[emoji38][emoji38]
carbamazepine ndugu yako yupo mnadani kwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba bado viungo vyake unavyo??
Hebu muache totoo leo adeke kwanza

Happy 18th bday Davet Mungu azidi kukuinua hapo ulipo uzidi kuwa kijana mzuri[emoji8][emoji8]
 
Happy bday SHIMBA YA BUYENZE najua leo ni siku ambayo ina mixed feelings kwako.
Nina mengi ya kukuombea kwa Mungu.
U mtu wa tofauti sana,nimepata bahati ya kuwa kati ya wale wanaofurahia uwepo wako.
Naomba nichukue nafasi hii kukutakia kila lililo la kheri katika maisha yako.
Mungu akuinue zaidi ya hapo ulipo.
Akuongezee hekma,busara na furaha katika maisha yako,uishi miaka mingi kadiri ya mapenzi yake.
Happy bday shem darling[emoji322][emoji323][emoji323][emoji8][emoji8][emoji8]
Uzidi kubarikiwa siku zote
 
Happy birthday The don, Nakuombea Neema na baraka tele maishani, Siku zote usiache kutushauri vijana wako popote tunapohitaji msaada Wako... hata mimi nafurahia uwepo wako na nashukuru kukufahamu!.😍
 
Back
Top Bottom