OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Mkuu naomba kujua faida tano za kula zabibu.
Mkuu naomba kujua faida tano za kula zabibu.
Yale matunda ya Stafeli au tope tope unajua ya apopatikana mkuu?
Ndiyo mimi ni mkunga wao.wewe ndiye mkunga wao?
hizo ni tarehe feki za kuzaliwa bwasheee
JackfruitUnapenda matunda gani?
basi na mimi natamka rasmiNdiyo mimi ni mkunga wao.
ubahatike uende pemba nyakati za mafenesi........wapemba na tabia zetu za kuwakomoa wageni.Jackfruit View attachment 1647868
Mafenesi siyo ..mimi nauza karibuJackfruit View attachment 1647868
Watafuna nchi..[emoji2][emoji2]
jamaa anakula miwa tu Daaa