moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji134][emoji134][emoji134]hata mimi sielewi ankoo
Hepibesidei ankoo Mungu akujaalie umri mrefu na macho yenye nuru kila siku uzidi kufaidi kuona hizo neema.
Kwa mawasaliano tu Anko, wanasema hawajambo. Mungu ni mwema [emoji120]Auntie hajambo?wadogo zangu je?
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi bado wiki kadhaa Anko.
Nasikia huko kuna rangi rangi sana, nikitoka huku nitapitiliza nije nizifaidi japo kwa macho tu
[emoji120][emoji120][emoji120]Kwa mawasaliano tu Anko, wanasema hawajambo. Mungu ni mwema [emoji120]
Soko la chini, mtaa wa Zanaki DsmYale matunda ya Stafeli au tope tope unajua ya apopatikana mkuu?
Kweli???[emoji23][emoji23]
Ankoo huku rangi rangi za dukani hazina maajabu
#nikoholidei[emoji126][emoji126][emoji126]
Kweli ankooKweli???
Afadhali upumzike kidogo. Nadhani utakuwa kwa mama K
SafiiMadoriani yameshaiva hapa kisiwani Unguja View attachment 1647456