Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Hatari sanaAnasafisha macho,,,
Hatari sanaAnasafisha macho,,,
Duh! Naona kuna pitch hapo za maana [emoji39][emoji39][emoji39]
Grapes zimekubali
I see [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Uuuuuh hadi nimesisimka mwili, kwakweli wacha niwe tu hivi nilivyo[emoji23]Msione raha kupapasa misambwanda, wenyewe wanapitia maumivu makali ili kuipataView attachment 1646107
Kaka si kwa uzoefu huo [emoji28][emoji28][emoji28].Wengine mpaka matako yanaoza. Wengine wanapoteza maisha. Hiyo silicone ikiingia kwenye mfumo wa damu ni sumu hatari sana. Halafu hata mambo yakienda sawa tako lenyewe linakuwa gumu kama simenti hata ukilidabua halitingishiki kama ile natural ya wobble wobble jiggle jiggle. Hata akitembea hakuna ule mtimbwiliko na mmeng'enyuko wa asili kama huu.
View attachment 1646125
Na hakuna anayejua huko mbele ya safari uzeeni kama haya masilicone yataendelea kubakia huko wakati muscles zimeshapoteza elasticity na ngozi kuchoka. Sad !!!
Haya matunda nayaona sana huku nilipo, ni matamu sana
Ana roho mbaya tu, sasa ndio nini kuwabania wenzie ridhiki?Baharia kaona warembo tunafaidi alichopewa na Muumba akaamua kuwa mpenzi wa mdoli..[emoji57]View attachment 1647236
Sio kweli, simba bado hatujafika level hizo
Ndio mafenesi?Madoriani yameshaiva hapa kisiwani Unguja View attachment 1647456
Mbona hata sasa tumefanywa mazuzu na watu wachache, au we huoni?Haya mawatu yalikuwa majinga sana ..unakuta yako kama ishirini au thelathini Halafu limwarabu liko limoja au lizungu halafu wanashindwa mfanya chochote. Angalia hapo yako kama yote viwazungu viwili tu lakini hamna kitu wanafanya
Happy birthday kwake kaka yangu, Shimba mwenyewe.Happy bday SHIMBA YA BUYENZE najua leo ni siku ambayo ina mixed feelings kwako.
Nina mengi ya kukuombea kwa Mungu.
U mtu wa tofauti sana,nimepata bahati ya kuwa kati ya wale wanaofurahia uwepo wako.
Naomba nichukue nafasi hii kukutakia kila lililo la kheri katika maisha yako.
Mungu akuinue zaidi ya hapo ulipo.
Akuongezee hekma,busara na furaha katika maisha yako,uishi miaka mingi kadiri ya mapenzi yake.
Happy bday shem darling[emoji322][emoji323][emoji323][emoji8][emoji8][emoji8]
Uzidi kubarikiwa siku zote
Haya maua tumeyapanda sana enzi hizo, tuliosoma shule za kidumu na mfagio tutakuwa tunaelewana.