moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Salaam dadake[emoji23][emoji23]
Wivu wa nini??pambana na jimbo jipya.
Na iwe hivyo babe[emoji120]
Salaam dadake[emoji23][emoji23]
Wivu wa nini??pambana na jimbo jipya.
Na iwe hivyo babe[emoji120]
Ninazo nzima nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba bado viungo vyake unavyo??
Hebu muache totoo leo adeke kwanza
Happy 18th bday Davet Mungu azidi kukuinua hapo ulipo uzidi kuwa kijana mzuri[emoji8][emoji8]
Happy birthday Kd Davet
Mungu akupe maisha marefu we chizi[emoji23]
Hbd boss wangu [emoji120]
Sijui nikuweke tu mnadani[emoji38][emoji38]
carbamazepine ndugu yako yupo mnadani kwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hbd! Davet SHIMBA YA BUYENZEHappy bday SHIMBA YA BUYENZE najua leo ni siku ambayo ina mixed feelings kwako.
Nina mengi ya kukuombea kwa Mungu.
U mtu wa tofauti sana,nimepata bahati ya kuwa kati ya wale wanaofurahia uwepo wako.
Naomba nichukue nafasi hii kukutakia kila lililo la kheri katika maisha yako.
Mungu akuinue zaidi ya hapo ulipo.
Akuongezee hekma,busara na furaha katika maisha yako,uishi miaka mingi kadiri ya mapenzi yake.
Happy bday shem darling[emoji322][emoji323][emoji323][emoji8][emoji8][emoji8]
Uzidi kubarikiwa siku zote
wewe ndiye mkunga wao?Happy birthday Kd Davet
Mungu akupe maisha marefu we chizi[emoji23]
Hbd boss wangu [emoji120]
Sijui nikuweke tu mnadani[emoji38][emoji38]
carbamazepine ndugu yako yupo mnadani kwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni ujenzi holela
Unapenda matunda gani?Duh! Ndg unafikiri hata yapo kwenye orodha ya matunda niyapendayo? Sijui nayaonaje jinsi yalivyo
Zee la maujiko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masoud Kama masoudView attachment 1647782