Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna Binadamu wanaletwa Duniani kwa ajili ya Binadamu wenzao, japo ni wachache na ni maskini kabisa lakini wamewekeza utajiri wa faraja kwenye Nafsi za watu wengi sana.
Mtenda mema hapa Duniani huinuliwa na wanadamu, kwa Mungu ni thawabu na pumziko lake ni Peponi.
Tumuombee maisha marefu yenye afya njema. Vile vile kale kabinti kake tukaombee katimize ndoto zake kaje katutibu uzeeni tezi nanihii...

Mungu akubariki Shimba [emoji120][emoji120]
Tezi dume[emoji28][emoji28][emoji28] kwhy ukifika hosp kakakuambia weka nguo pembeni tufanye vipimo.
Utaweka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom