Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1607830673852.jpg
 
Randy Gardner anashikilia rekodi ya kutokulala kwa muda mrefu zaidi. Alitumia siku 11 na dakika 25 sawa na saa 264.4, Guinness World Records wameacha kuthibitisha watu wengine wanaotaka kuvunja rekodi hiyo sababu ni hatari kiafya.
 
Mwanasayansi nguli, Nicola Tesla alikuwa anamfuga njiwa mweupe ambae alikuwa anampenda sana. Kuna kipindi njiwa huyo aliumia inaelezwa kuwa Tesla alitumia zaidi ya Tsh Milioni 129 kumtibu tu.
 
Back
Top Bottom