Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1607908722424.jpg
 
Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconioses" ni neno refu zaidi katika lugha ya kiingereza.
Na maana yake ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na kuvuta vipande vidogo vidogo sana vya mchanga na uchafu mwingine unaotokana na mlipuko wa volkeno!

Nilimwona dogo mmoja mwenye miaka 9 katika show ya Big Shots ya Steve Harvey akiliherufisha (spell) neno hili bila kukosea tena kwa haraka haraka tu [emoji1786]
 
Back
Top Bottom