moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AminKifo mwanaharamu kabisa. Wapumzike salama. Safari yao imekamilika. We are next [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
AminKifo mwanaharamu kabisa. Wapumzike salama. Safari yao imekamilika. We are next [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Na katika jamii zetu haya mambo ya kibayolojia wala hayakuwa ya muhimu sana kwa sababu mtoto alikuwa ni wa wote. Unakuta kwenye familia watoto wote wanafanana balaa halafu kuna mmoja au wawili unawaona kabisa hawa siyo wa hapa lakini hakuna anayejali. Leo hii kutokana na maisha kubadilika na gharama za kulea na kusomesha watoto kuongezeka tena katika ubinafsi mkubwa kila mtu anataka kujua kama huyo mtoto anayemhangaikia ni matokeo ya bao lake kweli ama la!Tafiti: 3% ya watoto ni matokeo ya wazazi kuchepuka, Watoto hao kwa kiasi kikubwa hulelewa na wanaume ambao sio baba zao kibiolojia bila kujua.
😂😂😂😂😂Mzee wa Mwakaleli. Njoo! Esta is back...na hajatuangusha [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyo mtoto atakua very geniusNa maana yake ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na kuvuta vipande vidogo vidogo sana vya mchanga na uchafu mwingine unaotokana na mlipuko wa volkeno!
Nilimwona dogo mmoja mwenye miaka 9 katika show ya Big Shots ya Steve Harvey akiliherufisha (spell) neno hili bila kukosea tena kwa haraka haraka tu [emoji1786]
[emoji16][emoji16][emoji16]
SawasawaMieleka ni mchezo wa maigizo lakini yenye uhalisia, Kila kinachofanyika kimepangwa tayari na wapiganaji huwa wanajua lakini unachokiona kina uhalisia ndiyo maana kuna muda watu huumia. Kwa ufupi Mieleka' wanakuonesha kile wanachotaka uone na sio uhalisia wa kinachotokea.
Hapo mwisho sasa🤣🤣Korosho husaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo, huongeza kinga ya mwili, huongeza uwezo wa kuona, husaidia kupunguza uzito na zaidi husaidia kuongeza nguvu za kiume.
AiseeNchi ya china, zaidi ya watu million 35 wanaishi kwenye mapango.
Nb:idadi ya watu Zimbabwe ni million 14. Zambia million 17. Msumbiji million 29.
Duh...ana ubongo wa small!!Na maana yake ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na kuvuta vipande vidogo vidogo sana vya mchanga na uchafu mwingine unaotokana na mlipuko wa volkeno!
Nilimwona dogo mmoja mwenye miaka 9 katika show ya Big Shots ya Steve Harvey akiliherufisha (spell) neno hili bila kukosea tena kwa haraka haraka tu [emoji1786]
Huyo ndio Anko wangu sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mzee wa Mwakaleli. Njoo! Esta is back...na hajatuangusha [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hii tafiti haipingwiKorosho husaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo, huongeza kinga ya mwili, huongeza uwezo wa kuona, husaidia kupunguza uzito na zaidi husaidia kuongeza nguvu za kiume.
Shida inaanzia hapa...Tafiti: Harufu ya boga Inasaidia kuongeza mzunguko wa damu kwenye uume kwa 40% hivyo huongeza uwezo wa kufanya usimame vizuri zaidi.
Chanzo: Heathline