Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nchi zinazoongoza kwa raia wake kumiliki zaidi silaha ( Idadi ya silaha kwa kila watu 100 )

1. Marekani - 120.5
2. Falkland Islands - 62.1
3. Yemen - 52.8
4. New Caledonia - 42.5
5. Serbia - 39.1
6. Montenegro - 39.1
7. Uruguay - 34.7

Chanzo: World Popn Review
 
Mwaka 1998, Marvel waliuza haki miliki za Spiderman kwenda kampuni ya Sony kwaajili ya kutumika kwenye filamu kwa Tsh Bilioni 16. Hivyo umiliki wa Filamu zinazohusu Spiderman zote ni Sony kasoro vijarida vyake tu (Comic Book).
 
Bunduki zinauzwa kwenye masupamaketi tu. Unanunua bia, mchicha, viatu, losheni na pisto hapo hapo. Mpaka huwa nashangaa kwa nini watu huwa hawatandikani risasi mara nyingi. Unakuta wanazichapa kavu kavu wakati wana pisto kwenye magari yao au kiunoni. Ajabu sana !!!
 
Hizo ndude huku kwetu ni bora umchunge mwanamke malaya kuliko kuitunza hiyo kitu.
 
Ingekua bongo aiseee mambo yangejaribika. Huku watu hawana uvumilivu kiwango hicho ni mwendo wa silaha tu bila ngumi kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…