myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mlio kwenye vyombo vya usafiri angalieni watembea kwa miguu...
[emoji38][emoji38]
Hapi besidei baba chichi kwa kutimiza miaka mitano jf15 december 2015 hadi 15 december 2020.
miaka mitano ndani ya JF
Hali ni tete. Tumtafuta Yego tujue hali yake isije ikawa keshaondoka na ugumu wake [emoji16][emoji16][emoji16]
Na wavaaji nao wanachangia jamani sometimes kha! Tusilaumu mafundi pekee [emoji16][emoji16][emoji16]