moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
VE hivi huwa unalala na kuamka saa ngapi? 😆😆😂😂😂😂VE Mungu anakuona.
VE hivi huwa unalala na kuamka saa ngapi? 😆😆
Unajitahidi 😂😂😂😂😂😂😂😂 VE nikistuka usiku huchungulia huku LOL!
Unajitahidi 😂😂
Mimi ndio nishaamka silali tena saahiziSawa VE haya malizia usingizi wako 😍😍
Mimi ndio nishaamka silali tena saahizi
Hapana huwa siamki mida hii. Leo nasafiri ndio maana nimewahi kuamka 😀😀Ndiyo unaamka saa hizi siku zote? It is too early VE.
Asante na salamu zitafika 😀😀Safari njema huko uendako wasalimie sana waambie yule VE AKA BAK wa JF anawasalimia sana. 😂😂