Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzito wa Sisimizi wote duniani ni sawa na uzito wa Watu wote dunian
Heeh!
tapatalk_1576009127486.jpg
 
Maisha yetu ni ya misimu. Ipo misimu ya mazuri na ya majaribio na majanga. Ni kama pande mbili za shilingi. Hivyo basi unapoona majanga yanakujia fahamu ndio msimu wake. Lakini fahamu kuwa, wakati mwingine shurti kuanguka ili uweze kunyanyuka na kusimama juu zaidi.
 
Back
Top Bottom