Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha yetu ni ya misimu. Ipo misimu ya mazuri na ya majaribio na majanga. Ni kama pande mbili za shilingi. Hivyo basi unapoona majanga yanakujia fahamu ndio msimu wake. Lakini fahamu kuwa, wakati mwingine shurti kuanguka ili uweze kunyanyuka na kusimama juu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…