Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1608405809843.png
 
Duh! Weka mawasiliano yake
Ya nini bro?
Anasema ameshaumizwa sana na wanaume, kwa sasa ameona bora ampe nafsi mbwa wake alionyesha utii kwake.
Bro usije kumtonesha vidonda ambavyo wenzako huko nchini Uingereza walimpa[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom