Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maonyesho ya urembo wa kucha kwenye jiji la...
FB_IMG_1608388937384.jpg
 
Unaogopa kumuuzia bidhaa/huduma rafiki yako kwa bei halali eti kisa ataona bei kubwa hivyo unampunguzia bei.

Sasa huo urafiki wenu una maana gani hasa?

Na wewe kama rafiki acha kutegemea special treatment kwenye biashara za watu hata kama ni rafiki zako.
 
Back
Top Bottom