Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1608323985839.jpg
 
upuuzi mtupu

Hajui kuwa nchi hii ni halali kuwa na ndoa za wake wengi?

Kwa hiyo ukimuoa Fatuma ukanunua kiwanja utamuweka fatuma, kisha baada ya miaka mitano ukamuoa Asha, itabidi ubadili hati umuongeze asha, baada ya miaka miwili ukamuoa Zainabu itabidi ukabadili hati umuweke na Zainabu? .

Missile of the Nation

Kuna watu wanawaza mbali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Waziri amechemsha
 
Back
Top Bottom