Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpaka kieleweke. Kama ni wimbo ndo tumefika kwenye korasi sasa na uzee mwisho Chalinze. Ni mwendo tu wa kutoa na kuweka waah mpaka fenesi linachoka!

RIP Mzee Ng'wandu. Umeacha pisi kali sana ila ndo hivyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ni mwendo wa kugoma kuzeeka. Ila mazoezi muhimu...

JIRANI huu ni umri wa kunywa "uji" mara kwa mara
 
Mazoezi ndo kila kitu. Na kila mwaka kwa daktari kufanya tune up. Lazima kuhakikisha kuwa system zote zinafanya kazi sawasawa. ...then we die [emoji51][emoji51][emoji51]
 
upuuzi mtupu

Hajui kuwa nchi hii ni halali kuwa na ndoa za wake wengi?

Kwa hiyo ukimuoa Fatuma ukanunua kiwanja utamuweka fatuma, kisha baada ya miaka mitano ukamuoa Asha, itabidi ubadili hati umuongeze asha, baada ya miaka miwili ukamuoa Zainabu itabidi ukabadili hati umuweke na Zainabu? .

Missile of the Nation

Kuna watu wanawaza mbali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sitashangaa kama kutakuwa na ongezeko kidogo la ada hapo ili kuongeza hilo jina la mke. Zinatafutwa pesa tu na si kingine!
 
Yaani ni mwendo wa kufakamia mi Kvant hadi moyo unatanuka.Haya mambo yatatutoa roho kwakweli... Pumzika mzee Ng'wandu Pius[emoji120]Nimeiona usiku nikamuonyesha shangazi yake huo utafiti, kacheka sana [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1608326575524.jpg
 
Back
Top Bottom