Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

838E7485-7266-4364-80EB-910C4ACC7B67.jpeg
 
Serioua bro! Mbwa atushinde kismart? Nadhani labda hatuna pesa. Ila huyo mbwa pesa kazitoa wapi hadi pisi kali imkubali?

Huyo mwanamama bora hata angeniona mimi.
Nduguu si unajua pisi ikikuelewa haijali hali yako[emoji16][emoji16]sasa ndio imemuelewa huyo mbwa!! Endelea tu kutafuta!!
 
Back
Top Bottom