Sarikiaeli
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 971
- 1,606
Namna ya kumuomba pesa mwanaume bahili
Baby nina 10,000 naomba niongezee 15,000 nikasuke.
Jaribu utakuja kunishukuru baadae 🤣🤣
Dawa kumkaukia tu....haendani na sisiJamaa naona anatupia post zake kisha huyooo.
Sidhani kama ni sahihi anavyofanya
Amen..[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1655336
Likes zinaendelea
Hahaaa... Poti nipo, Namuangalia tu huyu jamaa hapa wa Jumba jeupe, kapigwa chini lakini bado anakomalia tu kuwa kashinda. Angekuwa Marehemu Mugabe hapo na misaada ingeshasitshwa kitambo; Mabeberu wanafiki hawa, halafu wanajifanya kutufundisha Demokrasia. 😅😅Hali ni tete. Tumtafuta Yego tujue hali yake isije ikawa keshaondoka na ugumu wake [emoji16][emoji16][emoji16]