BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Labda kismart hatuna[emoji1]Sijui tunafail wapi? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Serioua bro! Mbwa atushinde kismart? Nadhani labda hatuna pesa. Ila huyo mbwa pesa kazitoa wapi hadi pisi kali imkubali?Labda kismart hatuna[emoji1]
Nduguu si unajua pisi ikikuelewa haijali hali yako[emoji16][emoji16]sasa ndio imemuelewa huyo mbwa!! Endelea tu kutafuta!!Serioua bro! Mbwa atushinde kismart? Nadhani labda hatuna pesa. Ila huyo mbwa pesa kazitoa wapi hadi pisi kali imkubali?
Huyo mwanamama bora hata angeniona mimi.
Shwari jirani mpenzi.Habari zenu
Nyumba kama hii bei gani..?