myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Arsenal 2 Chelsea 0
Arsenal 2 Chelsea 0
Kipindi cha pili kitaamuaHii timu yangu leo ni aje? Ni nguvu ya soda?
arteta mitano tenaaaHii timu yangu leo ni aje? Ni nguvu ya soda?
Kipindi cha pili kitaamua
arteta mitano tenaaa
Ngoja leo tuone....wakishinda Chelsea itawapa nguvu mpyaKabisa hasa ukitilia matokeo ya hivi karibuni ambapo tumechapwa goli za kutosha tu. Hata motisha wa kuangalia haupo tena, lakini sihami timu 🤣
Sawasawaarteta mitano tenaaa
jamaa anaelekea mitaa ya PARIS🤣🤣🤣🤣🤣 kuna yule Mauricio aliyekuwa Tottenham anastahili kupewa timu kabla ya msimu kuisha.
Huyu jamaa kwa kukalamika...Utaelewa tu KigwaView attachment 1659761