moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usiku wa baridi
tena babu ufanye haraka kabla sijarudi Unguja....Ahsante sana mjukuu nitafika huko Inshaallah nije nihangaike na hilo binti la kipemba [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena babu ufanye haraka kabla sijarudi Unguja....
kijiji cha konde na waarabu kama OMAN
teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe u sehemu ya furaha yangu hapa jukwaani.
Mungu azidi kukujaalia hekima na upendo [emoji120]