Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1608942739980.jpg
 
Happy belated bday ankoo andjul
Mungu akupe umri mrefu,akuongezee ucheshi,afya njema,busara na kila lililo la kheri likawe juu yako.
Mungu azidi kukuinua na kukubariki katika yote ufanyayo.
Uwekuwa mtu wa muhimu sana kwangu.

Mungu azidi kukutunza ankoo
Mimi ni mmoja kati ya wale tunaosherehekea uwepo wako katika maisha yetu.

La muhimu Mungu akupe nuru katika macho yako uendelee kufaidi neema na mapambo ya dunia[emoji23][emoji23]

Happy bday ankali[emoji322][emoji323][emoji8][emoji8]


Numbisa na moudgulf poleni sana kwa mitihani iliyowakuta[emoji120][emoji120]
""La muhimu Mungu akupe nuru katika macho yako uendelee kufaidi neema na mapambo ya dunia[emoji23][emoji23]""

Happy bday ankali[emoji322][emoji323][emoji8][emoji8]


Haya maneno yana maana kubwa sana kwangu... Mimi ni nani hata nikapingana maombi yako?
Ahsante binti yangu.
Naamini likizo yako inaenda vizuri kabisa.
 
Back
Top Bottom