Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1609014509995.png
 
Kahawa ina BETA-CARBOLINES (BC) zina faida sana kwemye neva za fahamu, POLYGALA TENUIFOLIA kama mbadala wake zina BC nyingi zaidi ya kahawa.

Vile kahawa inafanya kazi ndani ya mwili (pharmacology); RHODIOLA ROSEA itafanya hivyo hivyo kwa usahihi zaidi.
 
Ni watu wawili tu ndio wanaojua mchanganyiko wa ladha (recipe) ya Coca-Cola yenye makao makuu Atlanta, Georgia Marekani.
Kila mmoja anajua nusu ya mchanganyiko huo. Watu hao wanajulikana na mabosi wachache na wamekatazwa kusafiri pamoja wakihofiwa kupata ajali.
 
Back
Top Bottom