myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe siku njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mazoezi husaidia msukumo mzuri wa damu mwilini hasa kwenye viungo vya uzazi na kufanya mwanaume afanye tendo la ndoa kwa ufanisi na mwanamke kufika kileleni kwa urahisi.
Asubuhi ya supu
Mungu atupe siku njema
Mapumziko yanaendelea
Salam kwenu.