Njoo useme jana ulikuwa kwa naniHahaha, nimempa double like...
Kuchepuka kwako ndo kulikuponza [emoji23] [emoji23]Ilikuwa balaa sijui walipanga hawa wanawake hadi michepuko nayo imenikataa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
cocochanel uliokuwa unamtafuta amekuja
Saivi ndio unatatiza tumbo[emoji23] [emoji23]Kwa furaha ukaubugia gizan pole jaman
Weitaaaa leta nyingine[emoji482] [emoji482] [emoji482]Zungusha nataka kulewa
Nitakupigia baadae nipo busy na likes
Safi sanaNdo ninausikiliza hapa Mkuu
Sasa hivi anakaribia kitoa albumNani kaituma hiyo?? Hivi unampenzi au bado una tengeneza single
We mzee mwenzangu uliobaki humu kwenye uzi unaniwakilisha vyema maana kambi yetu unaijua vizuriKatika vitu vinavyonipa raha ni kuona unanitakia mema ya dunia hasa kwa babe s.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hayo macho ya babe s siwezi nikafanya uzembe yakaenda kumilikiwa na mvulana huyo!.niko tayari kuuza hata shamba langu hapa Ikwiriri na kiwanja pale KibitiNi kweli kabisa kama babe S umempata we wahi kuweka chata tu na ndoa
Kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] akili zako za usiku unazijua mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba-ralia
Speed ya churaMnatembeza uzi balaa
Kwako tu[emoji12] [emoji12]Njoo useme jana ulikuwa kwa nani
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] cole mpaka aliumwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]