Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
Aibu kwa baharia
View attachment 1660740
Hahahahaha looooh[emoji23][emoji23][emoji23], ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi.
Watu tunatembea na "drill machine" zetu tunatafuta kuta za kuzitoboa mpaka zitikisike, moshi ufuke, vumbi litimke lakini hatuzioni.[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…