moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hakika mkuu.
Hata hivyo kuna baadhi ya watu wanakulazimisha ili wakuondoe mahali ulipo wakufikishe pazuri zaidi bila wewe kujua
Hakika mkuu.
Kweli bila kuabudu watawala mambo hayaendi. Huoni Sugu alivyoponea chupu chupu kuvunjiwa hoteli yake? Tunaishi kwa kufuata huruma za watu na siyo sheria kama inavyotegemewa. Sad !!!
Kweli bila kuabudu watawala mambo hayaendi. Huoni Sugu alivyoponea chupu chupu kuvunjiwa hoteli yake? Tunaishi kwa kufuata huruma za watu na siyo sheria kama inavyotegemewa. Sad !!!
[emoji1745]wow!
SawasawaLikes, like, likes
Kazi kuvuka...