Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😂😂😂😂😂😂😂anakwambia wabongo washamba hatuelewi haya mavazi kwa marekani kitu cha kawaida hasa kwa shepu yake ya english figa🤣🤣🤣🤣🤣sijui ni nani anamdanganya huyu kuvaa hivi hadharani. Ni kituko mwanzo mwisho.