Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Here we are again at the dawn of world.. Together.
It's wonderful..
.....Nonini _ Kadha🎼🎵🎶
It's wonderful..
.....Nonini _ Kadha🎼🎵🎶
Itumie hii kama avatar japo kwa muda tu. Well done
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona unaingia maeneo ya watu kimya kimya il hali ndugu zako tupo?Kabisa unaitikia shikamoo yangu jamani!!
Wazima kabisa, nipo kwa Kina moudgulf kuna joto kinyamaaa.
Na mwaka ukawe wenye baraka kwako na kwa wapendwa wako
Marahaba, hujambo kijana.Wakubwa zangu shikamooni sana
Nawatakia heri ya mwaka mpya.
[emoji120][emoji120]Niwatakie Kheri ya Mwaka Mpya Fam..
Kama kuna sehemu tulikwazana, nisamehewe kwani sote ni binadamu, hakuna aliyemkamilifu..
Aman,upendo,busara na baraka zitawale mwaka ujao!!!
Watu hapa wananusa hatari[emoji23][emoji23]Niliwahi kubadili avatar watu humu walinishukia pm kama mwewe kuhoji kwanini nimebadili na nirudishe iliyokuwepo kabla. Kilichonishangaza wengine wala hatukuwa na mazoea yoyote hapa jamvini. Niliirudisha haraka sana [emoji23][emoji23]