moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Analanda landa kwenye majukwaa ya udaku
Analanda landa kwenye majukwaa ya udaku
Amepotea jumla.
Muhandisi wa umeme.
Mzee baba, majukumu yamembana
Yupo ndani ya nyumbani kivingineHawachi
Jamani[emoji14][emoji14][emoji173][emoji173][emoji173]
Mkao wa kuaga mwaka wa zamani na kupokea mwaka mpya
Marhaba Depal, za siku? Hope u mzima hapo ulipo..Sijambo, shikamoo.
Amepotea sana
[emoji120][emoji120][emoji177]Happy new year in advance wapendwa katika likes.... [emoji255][emoji8]
Happy new year Bro!!Ningendako
Happy New Year in advance our Coco😘
Hello Coco
Hahah usijari ukiitaka nitakurudishia Depal,Kabisa unaitikia shikamoo yangu jamani!!
Wazima kabisa, nipo kwa Kina moudgulf kuna joto kinyamaaa.
Na mwaka ukawe wenye baraka kwako na kwa wapendwa wako