moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kuelekea mwisho wa mwezi na mwaka 2021...
Poleni wakulima wote, tulikuwa pomoja sana..
Tunapoteza pointi kwenye mechi muhimu broHeh, yamekuwa hayo tena mabingwa watetezi[emoji28][emoji28]
Amin[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tumekuwa na undugu wa kimtandao..ni undugu wa aina yake.
MUNGU ATUPE AFYA SIKU ZIJAZO [emoji120] [emoji120]
Sijambo, shikamoo.Upo Depal? Haujambo wewe?
Amen jirani...Tumekuwa na undugu wa kimtandao..ni undugu wa aina yake.
MUNGU ATUPE AFYA SIKU ZIJAZO 🙏 🙏
Vizuri sana kama ni kwemaKwema kabisa
Ulipo je kwema?
Vizuri sana kama ni kwema
Huku niliko kwema/salama kabisa mkuu
Amina mpendwaAmen tuingie 2021 salama
DepalAmen jirani...