T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,118
- 30,551
Hii kazi yake kweli Mungu iliweka kwa kazi hiyo?kazi nyengine ni kutumika kama sehem ya mawasiliano kama kukonyeza
Hii kazi yake kweli Mungu iliweka kwa kazi hiyo?kazi nyengine ni kutumika kama sehem ya mawasiliano kama kukonyeza
Hii kazi yake kweli Mungu iliweka kwa kazi hiyo?
Hahaha....ingependeza sana kuona picha yake/kimtindoNdio maana watu wanashauriwa hata ukiwa unayoa basi usipige UPARA kabisa bali zipunguze kimtindo tu... Simaanishi uziache uwe rastaman hapana ila kiafya sio salama ukipiga kipara
Kwema kabisa
Aisee....Neno sehemu kwa kimasai ni ‘Iloshon’- hivyo kuna Iloshoni kumi na sita katika jamii ya kimasai.
Ambazo ni:
Ildamat
Ilpurko
Ilkeekonyokie
Iloitai
Ilkaputiei
Ilkankere
Isiria
Ilmoitanik
Iloodokilani
Iloitokitoki
Ilarusa
Ilmatatapo
Ilwuasinkishu
Kore
Parakuyu
Ilkisonko (pia wakati mwingine hufahamika kama Isikirari)
Niko poa Numby,Poa kabisa ninge
Shwari kabisa nausubiria mwaka mpya
Mzima? Kilimahewa hawajambo?
Post apendazo ankoo wangu hiziMavuzi hukusaidia kukulinganisha na michubuko na pia hukukinga dhidi ya bacteria mbali mbali wanaotaka kushambulia eneo hilo