Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kucha husaidia kuonyesha afya ya binadamu ipoje yaan kuna baadhi ya Magonjwa dalili zake hujitokeza sehemu mbalimbali katika mwili wa binadamu ikiwemo kwenye kucha... Mfano wa Ugonjwa huo ni UKOSEFU WA KINGA MWILINI, pia ugonjwa wa ini, mapafu na hata moyo
 
je unajua kucha husaidia hata utendaji kazi wa miguu na mikono?? Hebu vikutanishe vidole viwili kisha visukumani kwa upande wa juu wa... Je umeona nin?? Bila shaka umeona kucha inavyofanya kazi yake kama ukuta wa kidole si ndio??
 
Tena wengine wenye mahaba yao mjini wakikutana na wenzi wao tena hasa michepuko hujifanya kunyoana kwanza kisha ndio hufanya mapenzi ....kwa wewe unaona usafi na mapenzi lakini kiafya huenda ikakusababishia magonjwa mfano ngozi
 
kwa sabab unapopiga kipara kabisa huacha matundu ambayo kwa macho huwezi kuyaona ila hayo matundu ndio huleta muwasho lakin unapokutana na mtu kimwili huenda kukusababishia magonjwa ya ngozi au magonjwa ya ngono... hivyo sio ukitaka kwenda kuonana na mchepuko ujipige kipara ukadhan ndio usafi
 
kwa sabab unapopiga kipara kabisa huacha matundu ambayo kwa macho huwezi kuyaona ila hayo matundu ndio huleta muwasho lakin unapokutana na mtu kimwili huenda kukusababishia magonjwa ya ngozi au magonjwa ya ngono... hivyo sio ukitaka kwenda kuonana na mchepuko ujipige kipara ukadhan ndio usafi
Aisee


😂😂😂
 
Mara nyingi, makabila ni maalum katika eneo moja. Hata hivyo, kabila la Masai linaishi mashariki, kati na kusini mwa Kenya vile vile kaskazini mwa Tanzania! Kwa mujibu wa ripoti kuna zaidi ya wamasaai 840,000 waishio Kenya, na wasiopungua 800,000 Tanzania. Pamoja na idadi yote hii , haishangazi kwamba kuna vitu vya kweli vingi vya kusisimua kuhusu kabila ya wamasai.
 
Ingawaje, hizi ripoti haziwezi kuaminika moja kwa moja. Inaonekana, wamasai wengi Kenya wanaona sensa ya taifa kama ni ‘kuingiliwa na serikali na kufanywa kwa makosa ya kuhesabiwa kwa makusudi. Zaidi ya hili, Tanzania hawafanyi sensa ya kwa mujibu wa makundi ya kikabila – hivyo ni vigumu kukadiria ni wamasai wangapi wanaishi Tanzania.
 
Neno sehemu kwa kimasai ni ‘Iloshon’- hivyo kuna Iloshoni kumi na sita katika jamii ya kimasai.

Ambazo ni:

Ildamat
Ilpurko
Ilkeekonyokie
Iloitai
Ilkaputiei
Ilkankere
Isiria
Ilmoitanik
Iloodokilani
Iloitokitoki
Ilarusa
Ilmatatapo
Ilwuasinkishu
Kore
Parakuyu
Ilkisonko (pia wakati mwingine hufahamika kama Isikirari)
 
Back
Top Bottom