Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamasai ujivunia ng’ombe zao.Kabila la Kimasai uishi maisha ya kuhamahama. Hivyo, uhama sehemu hadi sehemu kwa mzunguko wa msimu. Wanafanya hivi ili wawe siku zote na malisho ya kijani kibichi na ardhi yenye rutuba kwa mifungo: ng’ombe, mbuzi, kondoo na punda.
 
Kutokana na uwezo wao wa kuzoea mazingira tofauti tofauti, kabila la kimasai utegemea zaidi ng’ombe. Maziwa, nyama, jibini (na damu) inayofanya mlo wa kimasai utokana na ng’ombe, na nguo na magodoro wanayo vaa/tumia mara nyingi utengenezwa na ngozi ya ngombe.
 
Kuna dini tofauti ndani ya kabila la masai.Kitamaduni, kabila la kimasai wamekuwa na imani ya Mungu mmoja daima, ambaye jina lake ni Enkai au Engai. Mungu huyu anaasili ya kile kinachojulikama kama asili mbili (duel nature), na zina majina tofauti kidogo:
 
Kila la kheri kwenu wote ndani ya uzi huu
FB_IMG_1609410531710.jpg
 
Back
Top Bottom