Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kitamaduni, wanaume huwa (au walikuwa, japo inapoteza umaarufu) wanategemewa kutoa vitanda vyao kwa mgeni mwanaume. Mwanamke wa nyumba hio anaweza kulala na huyo mgeni kitandani, iwapo atachagua.