BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hata sikuwepo bro[emoji28]Ulikuwa wapi wakati huo bro[emoji23]
Hizo ni enzi za Empire sinema, Empress,.Avalon, New Chox, Cameo, Odeon. Drive in
Zamani hiyo bro
Thanks same to you dear.Miss u too. Happy new year
Asante jirani.Happy New Year, everyone!
Kheri kabisa jirani. Tuone hii 2021 itatuletea nini, kwani 2020 ilituletea balaa la COVID-19.Asante jirani.
Naamini mwaka umeingia salama upande wako