Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu ni joka la Kibisa. Halina madhara. Na akae atulie sasa. Alivuta pesa ndefu kwa Gadafi akajenga ule mhoteli wake. Akiendelea na fyoko fyoko watakuja kumbomolea. Aende akawaulize bestie zake akina Sumayi na mamvi...

Na opposition sijui watajifunza lini. No more kupokea haya makapi ya CCM. Please !
 
Tahadhari muhimu...
1aa893c3-eed9-4c63-bacd-4a6a6f46bc41.jpg
 
Huyu ni joka la Kibisa. Halina madhara. Na akae atulie sasa. Alivuta pesa ndefu kwa Gadafi akajenga ule mhoteli wake. Akiendelea na fyoko fyoko watakuja kumbomolea. Aende akawaulize bestie zake akina Sumayi na mamvi...

Na opposition sijui watajifunza lini. No more kupokea haya makapi ya CCM. Please !
Sidhani kama upinzani unakosea kuwachukua watu hawa.
Makosa makubwa wanayofanya ni kule kuwapa nafasi za kugombea urais bila ushindani.
Chadema walikosea kwa Lowasa, ACT hawakujifunza kwa makosa ya wenzao hivyo nao wakauvaa mkenge.
 
Back
Top Bottom