The Queen of Sheeba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 342
- 2,976
Huyu ni joka la Kibisa. Halina madhara. Na akae atulie sasa. Alivuta pesa ndefu kwa Gadafi akajenga ule mhoteli wake. Akiendelea na fyoko fyoko watakuja kumbomolea. Aende akawaulize bestie zake akina Sumayi na mamvi...
Hili Range jeusi hapa pambeni kabisa ndo lako? Be careful. Usilewe na kuendesha please.Bar imejaa watu ila magari parking mawili tu langu na jamaa
Niko na G wagon Nashangaa hata counter hakuna mtu wa cocktail.Hili Range jeusi hapa pambeni kabisa ndo lako? Be careful. Usilewe na kuendesha please.
[emoji23][emoji23]
Sidhani kama upinzani unakosea kuwachukua watu hawa.Huyu ni joka la Kibisa. Halina madhara. Na akae atulie sasa. Alivuta pesa ndefu kwa Gadafi akajenga ule mhoteli wake. Akiendelea na fyoko fyoko watakuja kumbomolea. Aende akawaulize bestie zake akina Sumayi na mamvi...
Na opposition sijui watajifunza lini. No more kupokea haya makapi ya CCM. Please !
Safi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha ndizi hapo