Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,378
- 2,401
Kwa kutumia kitenzi kihisishi na kivumishi kurupushi Bila kusahau nomino changamfu na kirai kibakizi,tunga sentensi moja kutumia aina hizo za maneno..?Bila Masihara,Niulize chochote kuhusu chochote nikujibu.....ila usifanye utani..
Unaitwa nani? Unafanya kazi gani? Na unaishi wapi?Bila Masihara,Niulize chochote kuhusu chochote nikujibu.....ila usifanye utani..