Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bila Masihara,Niulize chochote kuhusu chochote nikujibu.....ila usifanye utani..

Nikitaka kumuuliza muuzaji dukani, hiyo namba moja niitaje na hiyo namba mbili niitaje?
1609780440254.png
 
Umechanganya madesa kidogo hapo mkuu. Mwaka mmoja una siku 365 na robo. Ndo hizo robo zinakusanywa mara 4 kila baada ya miaka 4 unatokea mwaka wenye siku 366( zile robo zinatengeneza siku kamili) na hiyo siku ndo huwa inaongezwa pale baada ya tar 28 mwez February inakua tar 29

NB: Nimeongea kimahesabu, mengine sijui kwann waliamua iwe hivyo wala nn wataalam wa kalenda watakuja
😂😂😂😂 nimezidi changanyikiwa
 
Back
Top Bottom