Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,765
- 3,876
Umeolewa??
Pole😂😂😂 mkuu umeua.Nimecheka mpaka machozi
Andika chinese calendar google utaipata.Ipoje Hiyoo calendar?
Nahitaji kuelezewa kuhusu chakras and chi energyBila Masihara,Niulize chochote kuhusu chochote nikujibu.....ila usifanye utani..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh , hii inaitwa mwanakulifind mwana kuligetMkuu maishapopote umeona uombe kiulizwa swali lolote kuhusu chochote.
Mimi nina urefu wa nchi ngapi?
Akili za kubeti na kula kwa shemeji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh , hii inaitwa mwanakulifind mwana kuliget
Mh, hafi huyo.Wewe utakufa lini?
Lazima aombe poo! DuhKwa kutumia kitenzi kihisishi na kivumishi kurupushi Bila kusahau nomino changamfu na kirai kibakizi,tunga sentensi moja kutumia aina hizo za maneno..?
Mtoa mada anajifanya kachanganyikiwa, sasa watu wanamchanganya ili achanganyikiwe vizuri[emoji23][emoji23]Namalizana nawewe kwa kiswahili tu! "Punde si punde jambazi lilitoa haja kubwa" kwa kutumia hiyo sentensi onyesha aina hizi za maneno
Kivumishi changamnishi!
Kitenzi chenye kisimbusi angalizi ambacho ni nomino kamatishi.
Kielezi kikombanishi ambacho kimebeba kirai kivurugishi chenye maana ya kikokotozi ktk msimamo chonganishi. Na mwisho onyesha
Kitovu Cha sentensi.