Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1609782852250.png
 
Namalizana nawewe kwa kiswahili tu! "Punde si punde jambazi lilitoa haja kubwa" kwa kutumia hiyo sentensi onyesha aina hizi za maneno
Kivumishi changamnishi!

Kitenzi chenye kisimbusi angalizi ambacho ni nomino kamatishi.

Kielezi kikombanishi ambacho kimebeba kirai kivurugishi chenye maana ya kikokotozi ktk msimamo chonganishi. Na mwisho onyesha

Kitovu Cha sentensi.
😂😂😂 mkuu umeua.Nimecheka mpaka machozi
 
Back
Top Bottom