Kawalala93
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 400
- 1,587
hallow.......
TOA LIKES POKEA LIKES...hallow.......
Safi sana we umembua mapema mtoto mzuri.
Hahaha...mpka macho yameanza kuuma....Hii kali ya mwaka. Si Baby S mwenyewe ndo alete hii? Kulikuwa na mashahidi? Hata ukisema hivi kama Unique bado anapendwa itasaidia nini?
That's the system against you!Courts, Judges , Juries
Sema Quigley..Babe s
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu uzi hauna maana,unaingia kulala hata haujamaliza kujifunika unaivuta simu tena
Duuu kweli wapinzani wangu hali mbayaMkuu mbona hiyo gari uliiuza?![]()
NamsaidiaUnaliamsha dude[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpambano unaoendelea hapa bageshi yaani mpaka raha. Mimi fokasi yangu ni ng'ombe tu!Nimekuwa na wakati mzuri...
Usiku mwemeni..Naam mpenzi
Hahahahahahaa kweli kabisa natamani nizime similar kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu uzi hauna maana,unaingia kulala hata haujamaliza kujifunika unaivuta simu tena
Bageshi, ubebe udebile ijisukuma?Jamani wapenzi....
Hahaha ninakwenda kumtembelea Nsamaka sio weweWee koma,nani kakuambia yupo Shy?
Hahhahahaha.Tangazo kwa kila anayenipiga vita.
Kichwa kichafu kaamua kunisaidia kasema tutahakikisha kila zizi la aliyekuwa upande wa pili linavamiwa na kuvunjwa!
Nilitaka kuwaorodhesha wahanga watarajiwa wa zoezi hili litakaloanza jumatatu tar 10 lakini kutokana na sababu zakimaadili hatutowatangazia majina hayo.
Ili kuwa salama jisajiri upande huu unaotoa tangazo.
Wazee wa Ikwiriri na Kibiti.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni ngumu kujinasua.ISIS katuaga mara tatu lakini bado anaonekana humu japo kwa kushtukiza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mnamcheka Chid Benz eti kashindwa kuacha unga. Nyie mnaweza kuacha uzi huu?