Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mwaendeleaje humu ndani?
bado nipo zizini kwetu Pemba, nimeshapata wachumba 20 mpaka muda huu lakini nimewaambia nitarudi 2026 panapo uhai (nina deni refu la HESLB).
atakayenisubiri ndiye nitakayemuoa.

  1. The Happiness waendelejeaje mjinga wewe uliyeachwa na mcheza gemu
  2. Numbisa anaendelea kula raha, miaka 10 hii hata kiwanda cha kutengenezea vocha kitawekwa kwao Chatoooo
  3. myoyambendi bado ana deni la HELSB, cha kusikitisha amebakisha miaka miwili kustahafu kazi na pensheni yake haizidi millioni 50, deni lake ni millioni 20........babu myoya mitano tenaaa
  4. moudgulf amegeuka kinyonga, kilimo yeye na madini yeye......wewe mzee njoo uongeze mke wa tatu huku PEMBA.
  5. @Ningendako alivamia mwanamke asiyemuweza, mwanamke muda wote yupo klabuni kama kisoda cha chupa ya bia...... now ameamua kuwa muhubiri wa dini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…